Thursday, July 14, 2011

KARIBUNI KATIKA JIMMYCHUMA BLOG

Hello! Habari zenyu banaaa!
Naamini wote mko poa kabisa! Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika blog hii mpya ambayo ningependa sana kupata maoni yenu kuhusu mambo gani mazuri mnayopendekeza yainingie humu ndani ili watu wote waweze kuyaona popote ulimwenguni.


Kazi kwenu ndugu zangu, nitumie maoni kupitia jamalchuma1@gmail.com au kupitia namba yangu ya simu 0782291455.
Ahsanteni sana. One Love